|
Basi kwa
habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe,
na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 1Wakorintho 7:1-2 Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; lakini, ikiwa ameachana naye, na akae asiolewe, au apatane na mumewe; tena mume asimwache mkewe. 1Wakorintho 7:10-11 |
|
Ndoa N°1 Ndoa N°2 Ndoa N°3 Ndoa N°4 Ndoa N°5 Ndoa N°6 Ndoa N°7 Ndoa N°8 |
Ndoa N°9 Ndoa N°10 Ndoa N°11 Ndoa N°12 Ndoa N°13 Ndoa N°14 Ndoa N°15 Ndoa N°16 |

| Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; Waefeso 5:22-25 |