Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao. Mathayo 18:20
…Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa. Matendo ya Mitume 2:47
…Ninyi mwondoeni yule mbaya miongoni mwenu. 1Wakorintho 5:13
…Nisalimieni na kanisa lililomo katika nyumba yao. Warumi 16:4


KANISA


KANISA N°1

KANISA N°2

KANISA N°3




Tweet

Basi, ndugu, imekuwaje? Mkutanapo pamoja, kila mmoja ana zaburi, ana fundisho, ana ufunuo, ana lugha, ana tafsiri. Mambo yote na yatendeke kwa kusudi la kujenga. 1Wakorintho 14:26

Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. 2Wakorintho 9:7