Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Yohana 1:1-4

Karibu kwenye mcreveil.org

KUAJIRI KWA BWANA

UFUNGULIVU

UBATIZO WA MAJI             
             
     
     
       Fikia tovuti      
     
   
   
     
   
   
             Ee Bwana, neno lako lasimama Imara mbinguni hata milele. Zaburi 119:89
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Zaburi 119:105

Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Yohana 8:32